kwamamaza 7

Zinedine Zidane ajiuzulu

0

Kocha wa Real Madrid Zindine,45, ametangaza kujiuzulu baada ya ushindi wa kombe la Mabingwa wa Ulaya.

Zidane ameeleza Watangazaji kuwa huu ndio wakati  wenyewe wa kuondoka.

“Kwa wengi,jambo hili halieleweki waziwazi….Kwangu linaeleweka”

Zinedine Zidane kwenye mazungumzo na vyombo vya habari

Kuna taarifa kwamba kocha  Arsene Wenger,Antonio Konte na Maurichio Pochentino mmoja wao  atachukua nafasi yake.

Kiongozi wa Real Madrid, Florentino Perez

Zidane amekuwa kocha wa Real Madrid tangu mwaka 2018 ambako alishinda kombe sita.

Chimbuko: Dailmaily

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.