kwamamaza 7

Ziara mfululizo, Rais Kagame azuru Gabon baada ya Msumbiji na Congo

0

Baada ya kufanya ziara mwanzoni mwa wiki hii nchini Msumbiji na kupitia Congo Brazzaville, rais Paul Kagame wa Rwanda ameendelea na ziara ya kikazi ya siku mbili Gabon; leo 28 Oktoba 2016.

Rais wa Gabon Ali Bongo Ondimba alionyesha furaha za kumpokea mwenzake Kagame na kusema kwamba ni wakati mzuri wa kujenga uhusiano wa kiuchumi, ukulima na kimazingira na nchi ya Rwanda.

Kwenye ukurasa wake wa kibinafsi wa Twitter, Ali Bongo alisema; “Nimempokea kwa furaha nyingi rafiki na ndugu yangu Paul kagame kwa mkutano wa kikazi wa siku mbili. tukio hii ni ya kuimarisha uhusiano wetu na Rwanda katika jambo la kiuchumi, kilimo na mazingira.”

[ad id=”72″]

Rais Bongo aliwahi kufanya ziara nchini Rwanda, mnamo mwezi Mei katika mkutano wa kiuchumi wa World Economic Forum, WEF Afria.

Siku zilizopita, nchi Gabon imekutana na migogoro baada ya uchaguzi wa rais kati ya rais wa madarakani Ali Bongo Ondimba na mshindani wa upinzani Jean Ping.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Theogene U @Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.