Swahili
HABARI MPYA

Zawadi kwa jina la  Victoire Ingabire latolewa

Zawadi kwa jina la Ingabire Victoire  jana imetolewa kwa mala yake ya saba.Waliotuzwa ni  Taylor na Dkt.Charles Onana.

Zawadi hii imetolewa mjini Bruxels nchini Ubelgiji.

Dkt.Charles Onana ni Mfaransa asili ya Cameroun mwaka 1964 na Tylor ni mtanagazaji wa mambo ya siasa kwenye Radio CIUT 89.5 nchini Canada.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Zawadi hii ilianzishwa na shilika la RFDP na huzawadiwa wale ambao waligombania amani,uhuru na demokrasia  eneo la maziwa makuu.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com