kwamamaza 7

Zari afichua kuwa na mpenzi mwingine

0

Baada ya siku nne Zari Hassan kutangaza kwamba amemwaga muimbaji Diamond,huyu mwanamke ameweka wazi kwamba kuna mwanamume mwingine ambaye anamsaidia kuponda raha baada ya tukio hili.

Zarinah Tlale maarufu kama Zari kupitia Instagram Zari amezungumzia kuhusu mwanamume ambaye anamtaja kuwa jina lake Mr.X ila hakuweka sura yake hadharani.

Alichoandikka Zari The Bosslady

Zari ameweka wazi kuwa Mr.X alimpa simu ya mikononi ya kifahari iPhone x pamoja na bunda la maua,zawadi ambazo amesema kuwa zimempendeza mno.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Hili lina maana kwamba amemwaga Diamond akiwa na mwelekeo mpya.

Zari angali kuponda raha wakati ambapo Diamond ameandika kwenye instagram akiomba msaada wa dua kwani haoni mwezi jao yaani wa tatu.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.