kwamamaza 7

Yawezekana DRC kuzuka mgogoro baada ya kanisa Katolika kuacha upatanishi

0

Jumanne , ghasia ilitokea, maaskofu wapatanishi katika siasa ya jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo walijalibu kujitoa nafasi ya maongezi ya upatanishi.

Majukumu ya Maaskofu hao ilikuwa kufanya uchunguzi katika mazungumzo na kufumbua sababu gani huchelewesha uchaguzi mwaka huu.

Wahusika na kuandamana walichoma vitu kazaa katika makutano ya barabara mjini Kinshasa na polisi wakirusha mabomu ili kutawanya waandamanaji.

Ilibidi wazazi waende shule kuwachukuwa watoto wao na maduka yakifungwa kama vile husema gazeti la Reuters limeripoti.

Muda wa utawala wa rais Kabila ulifikia mwisho Disemba mwaka nenda na shida husema ni bajeti, na watu wengi waliandamana na watu zaidi ya 40 waliuawa.

Shirika la maskofu Congo walifanya bora kupitia maongezi kwa ajili ya kuepusha mgogoro wa siasa na kuandaa uchaguzi na kutafuta atakaye chukuwa nafasi ya rais Kabila, na inabidi wanasiasa kuwa na makubaliano mwaka huu.

Jumanne ndipo makubaliano yalikwama na ndipo maaskofu wakajiondoa katika mkutano, na huwezekana kuzua tena ghasia mbaya na uvunjifu wa amani katika nchi ambao imekumbwa na vita na uasi siku kwa siku.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Donatien Nshole, katibu mkuu wa shirika la maaskofu CENCO amesema ya kwamba hakuna wanachoweza kufanya hata kama walitoa muda na nguvu kwa kazi ya upatanishi hasa kazi ya uchungaji imeathirika.

Wanaopendelea bwiza.com iwatembelee na kuwatangazia habari kwenye bidhaa vyao wanaweza kutumia ujumbe kwenye barua pepe ya meckypro@gmail.com, ama wapigie simu kwenye nambari ifuatayo: 0784685981.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.