Home HABARI MPYA Yaliyo toka katika mkutano wa mawaziri siku 3/2/2017
HABARI MPYA - February 4, 2017

Yaliyo toka katika mkutano wa mawaziri siku 3/2/2017

Ijuma tarehe 3 Februari 2017 katika Village Urugwiro palifanyika mkutano wa mawaziri na uliongozwa na rais wa Jamhuri Paul Kagame.

Kwa mwanzo mawaziri walishukuru umoja wa Afrika kwa matumaini walikua nayo kwa ajili ya Rais wa Rwanda katika mkutano uliofanyika Addis Ababa tarehe 30 hadi 31 Januari 2017.

Kupitia mamlaka anayopewa na sheria, rais wa jamhuri Paul Kagame amewasamehe watoto ambao walikua gerezani na walishinda mtihani wa serikali ili waweze endelea masomo yao wakiwa gerezani.

bonyeza-ukaone-marefu

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.