Swahili
Home » Yahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumwuua mwenzake
SHERIA

Yahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumwuua mwenzake

Mahakama kuu ya Muhanga yamhukumia kifungo cha maisha jela kijana anayetambulika kwa jina la Uwamahoro Jean Claude aliyemwuua mwenzake jirani.

Kesi hii iliasilishwa mahakani na uendeshaji mashtaka wa Muhanga tarehe 31 Julai 2017 ikimshtaki kumwua mwenzake kwa kumchoma mti uliochongoka kwenye sehemu ya karibu na shingo. Uwamahoro aliyafanya maovu haya tarehe 23 Julai 2017.

Uwamahoro alikuwa akipisha kawaida ng’ombe wake kwenye shamba la Yamuragiye Jean. Siku hiyo Yamuragiye alikuwa akijaribu kumuzuia aliyekuwa akimchunga ng’ombe wa Uwamahoro asipitishe ng’ombe huyo kwenye shamba lake.

Baada ya Uwamahoro kuarifiwa kuwa ng’ombe wake amezuiliwa kupitishwa kwenye shamba hilo alimteremka haraka na hasira kubwa na kuchukua panga na kuchongoa mti aliyemchoma mgongoni karibu na shingo na hivyo kuanguka na walipojaribu kumsaidia Yamuragiye alikuwa amekwisha fariki.

Baada ya uendeshaji mashtaka kumpeleka kwenye Mahakama Kuu ya Muhanga, Jean Claude Uwiragiye alipatikana na kosa na hivyo kuhukumiwa kifungo cha maisha jela kama ilivyokuwa imependekezwa na Uendeshaji mashtaka wa Muhanga.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Richard Wa Billy

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com