kwamamaza 7

Wizara ya Elimu imekana kuwafukuza waalimu wenye uraia wa Uganda

0

Wizara ya Elimi Rwanda wamekana taarifa iliyosema kwamba waalimu kutoka Uganda wanaofundisha katika shule za serikali huenda fukuzwa.

Juma pili wiki nenda ndipo taarifa ilianza sambazwa na kufika hata Uganda ikisema ya kwamba waalimu kutoka Uganda ambao wanafundisha Rwanda wamekatazwa kuendelea na huduma zao kama vile husema gazeti la Redpepper la Uganda.

Jumanne ndipo waziri wa Elimu katoa tangazo kinyume na taarifa hio ambao yeye husema ni uongo yenye ilisambazwa mitandaoni hata magazetini na iliweza kuzua hewa mbaya katika mashule.

Wizara ya Elimu kasema tangu Rwanda kuteua lugha ya kingereza kama lugha shuleni tangu mwaka 2008, waalimu kutoka EAC, pakiwemo Waganda, walikuwa umuhimu wakifundisha waalimu wa Rwanda na walifundisha katika shule tofauti.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kama vile huhakikisha kituo cha elimu (REB) mwaka 2016, waalimu kimataifa wapatao 499, kati yao 256 ni mwenye uraia wa Uganda kama vile tangazo la wizara ya elimu ilivyosema.

Wanaopendelea bwiza.com iwatembelee na kuwatangazia habari kwenye bidhaa vyao wanaweza kutumia ujumbe kwenye barua pepe ya meckypro@gmail.com, ama wapigie simu kwenye nambari ifuatayo: 0784685981.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.