kwamamaza 7

Gakenke: Wilaya yetu  haistahili  nafasi iliyopatiwa kwenye mkataba wa utendaji 2016/2017-Wakazi

0

Wakazi wa tarafa ya Busengo,Cyabingo,Janja,na Rusasa wameleza kuwa wilaya yao ya Gakenke haistahili kuwa kwenye nafasi ya nne kwenye mkataba wa utendaji wa mwaka uliopita.

Baadhi yao wamesema kuwa hawana miundo mbinu kama vile barabara,maji safi,umeme na kuwa mazao yao kama vile muwa, ndizi na mengine hukosa namna ya kuwasilisha kwenye soko.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mmoja wao amesema kuwa hajui namna ambavyo wilaya yenye changamoto nyingi inaweza kupata nafasi nzuli kama ile.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Hakuna barabara,usafiriaji ni tatizo kubwa,sijui walilofuatilia kwa kutoa ile nafasi”ameleza.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Diwani wa Gakenke,Deogatias Nzamwita amepinga madai haya kwa kueleza kuwa wilaya inastahili nafasi hii kwa kuwa waliofanya uchunguzi huu wana ubingwa wa kazi hii na kuwa hawawezi kuegamia upande wa wilaya.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Wilaya  ya Gakenye ilijitokeza kwenye nafasi  ya nne baadhi ya wilaya 30 za nchi mwa zilizotimiza lengo la mkataba wa utendaji.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.