kwamamaza 7

Wezi 2 wamefyatuliwa lisasi wakiwapiganisha polisi

0

Wezi wawili katika wilaya ya Rubavi, kata ya Gisenyi waliuawa karibu saa tatu za usiku walipo fyatuliwa lisasi wakiwapiganisha askali polisi kwa silaha za kiasili .

Rutayisire Thacien, mmoja mwa viongozi katika kata hiyo, asema kwamba si mara ya kwanza wezi kuonekana mahali hapo, “kwa masaa ya usiku ndipo zamu wa kanisa alitupigia simu akisema kwamba kuna wezi ambao wanavusha vitu kwa kichaka, walikua na silaha za kiasili ndipo tuliita polisi kwa msaada, wakati walipiganisha polisi wakafyatuliwa lisasi, na si mara ya kwanza kuna uzoefu wa wezi.”

Lt Col Richard Mundori msemaji wa jeshi katika wilaya ya Rubavu, amewasihi raia kuulinda usalama na kutoa taarifa kwa muda kamilifu.

[ad id=”72″][ad id=”72″]

Kiongozi katika wilaya ya Rubavu mwenye kuhusika na uchumi amesema kwamba mwizi huo mmoja ana ukoo wa wilaya ya Rutsiro na mwingine ni mkaaji wa Mahoko, aendelea na kusema kwamba nafasi walipofyatuliwa lisasi ni mahali pajulikanapo wezi kwa sababu ni sehemu kubwa ya kichaka ambapo hakuna wakaaji. Aliwaomba wenyeji wa shamba hilo kuijenga ili kuepukana na mambo ya wezi.

Raia waliofanikia kufika mahali hapo walikuta vifaa tofauti ambavyo viliibwa kama tv, redio na vingine ambavyo hawakuvifahamu vilikua ndani ya vikapu.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.