kwamamaza 7

Wenye wivu hawataki maendeleo ya Rwanda- Mtume Rick Warren

0

Mtume maarufu nchi nzima, Rick Warren amedai wanaokosoa Rwanda ni watu wenye wivu.

Warren ameambia Gazeti la Igihe kwamba  miongoni mwa wapinzani kuna waliohusika na mauaji ya kimbali dhidi ya Watutsi mwaka 1994 na kwa hiyo wana wivu wa maendeleo ya Rwanda.

“ Ni kawaida kukosowa lakini kwa ujumla wanaokosoa Rwanda ni wenye wivu wa maendeleo yake. Hawataki kuona Rwanda ikipiga hatua ya maendeleo kwa sababu zao mbalimbali. Inatokana na kuwa walifanya mauaji ya kimbali dhidi ya Watutsi na wanaishi nchini nyingine.” Amesema

“ Hawana hata jambo jema wanaloweza kusema kwamba waliondoka baada ya kufanya mauaji ya kimbali. Alipowakaribisha tena rais walikataa.”

Mtume Rick Warren amesema Rwanda ilitimiza mengi na kwa hiyo haiwezi kutokuwa na maadui.

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.