kwamamaza 7

Wenye kuwa na magonjwa yasiyo ambukizwa watajaliwa nyumbani kwao

0

Kwa kuanzisha wiki ya afya, juma tatu tarehe 13, wizara ya Afya ilianzisha uhamasiahaji kwa ajili ya kupambana na magonjwa yasiyo ambukizwa na ni vigumu kupona kuwa wagongwa watakuwa wanafuatiliwa na wauguzi zaidi ya 200 wakiwa nyumbani kwa.

Eugenie Kapire anayeishi tarafa ya Kigabiro, wilaya ya Rwamagana anaugua cancer muda murefu bila matibabu na yeye hakujua kama ni mgonjwa, alipo jua alianza matibabu kwenye kituo cha afya na mwisho akafikishwa hospitali ya Butaro na hapo kaambiwa kuwa anaumwana cancer, ila ni vigumu kupona na yeye hupewa dawa za kupunguza maumivu.

Dr Patrick Ndimubanzi katibu wa serikali katika wizara ya afya alisema ya kuwa wagonjwa wenye kuwa na magonjwa yasiyo pona wanahitaji msaada wakiwa nyumbani kwao na kuwajali.

Hao wauguzi na wafanya kazi katika wizara ya afya watakuwa pia wakitoa taarifa kuhusu vifo vya nyumbani na sababu ya vifo hivyo ili wajue hali hesabu kuhusu afya ya Rwanda.

Wauguzi hoa watasadia upungufu wa kipesa ambazo wagonjwa walikuwa wakilipa wakiwa hospitalini.

Wafanyakazi hao watakuwa wakifanya kazi zao kwa ngazi ya viini wanavyoishi, na wataanzia katika viini 100 sehemu tofauti za Rwanda na kwa mwanzo kuna wauguzi wapatao 211.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Katika wiki ya afya inatarajiwa mambo tafauti pakiwemo uhamasishaji kwa kuzingatia afya tangu watoto wenye kuwa tumboni mwa mama zao hadi watu wakuu na kufikilia neno “kujikinga ni bora kuliko matibabu”.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.