kwamamaza 7

Wengine ofisa 5 wa wapiganaji wa M23 wamekamatwa wakijaribu kwenda DRC

0

Ngazi za usalama wilayani Kisoro mangaribi mwa Uganda wamekamata wengine wapiganaji watanu wenye vyeo vya juu wa M23, wakiwafikiliwa kuhitaji kwenda Congo.

Waliokamatwa ni Sgt. Erick Munezero, Capt. Roger Kubwimana, Capt. Hategeka Ngiruwonsanga, Capt. Freesia Musabyimana na Capt. Patrick Mugisha, wote walikua wametoroka kambi la Bihanga katika wilaya ya Ibanda na wote kawekwa mbaroni kwenye stesheni ya polisi ya Kisoro.

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

Charles Okoto, kiongozi wa polisi amesema kuwa wapiganaji hao wa M23 walikamatwa wakiwa ndani ya gari yenye namba UAW 477K hapo kisoro kama vile husema Chimpreports.

Kaendelea na kusema kuwa hao wote watarudishwa katika kambi la Bihanga na anahamasiha kuwakamata hao wapiganaji waliotoka Congo.

Wiki nenda walikamatwa wapiganaji wa M23 101, sehemu ya Mbarara, walikua kama wasafiri wa kawaida, walikua katika barabara ya kuelekea Congo. Bada sababu inayo wasukumba kutoroka kambi haijajulikana.

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.