kwamamaza 7

Wendy Waeni yamtakia heli na fanaka rais Kagame katika mamlaka yake mpya

0

Kupitia mtandao wa  twitter yake mtoto wa umri wa miaka 12, Wendy Waeni yamtakia mema rais wa Rwanda, Paul Kagame  katika mamlaka yake mpya ya miaka 7 akiongoza nchi ya Rwanda.

Ujumbwe wa Waeni kupitia twitter

Waeni ametangaza ujumbe huu baada yake kumtembelea na kukaribishwa na rais Kagame mjini Kigali  tarehe 9 mwezi Septemba mwaka 2016 na kumushukuru sana Kagame baada ya kuvutiwa na uzuri asili wa Rwanda ikiwemo mji wa Kigali.Katika ujumbe wake,Waeni amesema”Nawatakia mema kwenye mamlaka mpya  pia na raia wa Rwanda”.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Waeni akimpa zawadi Rais Kagame

Waeni amefanya jambo hili baada ya kumpa pongezi rais Kagame kwa ushindi wake wa uchaguzi.Waeni ni mtoto wenye vipaji vya kushangaza katika mambo ya mazoezi ya viungo,aliwakaribisha viongozi kadhaa hasa maraisi wakiwemo Uhuru Kenyatta(Kenya), Yoweri Kaguta Museveni(Uganda),Jacob Zouma(Afrika Kusini),waziri wa wingereza wa zamani,David Cameron na wengine.

 

Waeni akisamiwa na rais Kagame mwaka 2016

Idadi ya watu wengi wanaomfuata kwenye mtandao wa twitter (5,415) wanavutiwa na hotuba zake zenye busara na namna yake ya kueleza na kufafanua maneno akiwa kwenye televisheni.

Waeni akionyesha vipaji vyake
Waeni pamoja na wazai wake ,Rais Kagame na mtangazaji,Eugene Anangwe
Waeni alivutiwa na chakula akikaa ndani ya ndege kuelekea Kigali
Waeni akizungumza na Rais Kagame nchini Kenya.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.