Hayo kasema na kiongozi mkuu makamu wa polisi ya Rwanda anaye husika na uongozi na wafanyakazi (DIGP/AP) Juvenal Marizamunda tarehe 15 Mach 2017, wakati alikuwa akimalizia mafundisho ya askari polisi 15 wahusika na kwendesha mashtaka (CID) kutoka sehemu tofauti ya nchi Rwanda na lengo ilikuwa kuwaongezea ufahamu kwa ajili ya kulinda na kuchunga ishara ya nafasi kunakofanyika makosa ili kusaidia upelelezi, walifundishwa na polisi ya Ujermani wahusika na kwendesha mashtaka.

DIGP Marizamunda eti:”kwa ngambo ya kuwasaidia polisi ya Rwanda kufanya kazi vema kimataifa, tulikutana kutia vifaa vya msingi kwa kwendesha makosa kuwa lazima, ndio sababu kaamua kujenga kikao kitacho saidia wendesha mashtaka Kigali.

Aliwaambia kwamba ishara sherti ichungwe na isichafuke wala kuharibika ili kupata taarifa iliyo kamili kwa kusaidia watakao endesha makosa na kukamata wahusika.

Eti:”ninaamini ya kwamba elimu mumetoa hapa itawasaidia kwa kwendesha makosa na kufanya kazi yenu vema”.

Mwakilishi wa Ujerimani Rwanda, Dr. Peter Woeste alikuwa kwenye sherehe hio alishukuru ushirikiano wa polisi ya Rwanda na nchi yake, eti:”mafundisho hayo yatasaidia polisi ya Rwanda kwa kupiganisha makosa na kushika wahusika, tena naamini ya kuwa itatia sura nzuri polisi ya Rwanda kwa sababu inaonekana kwa ngazi ya kimataifa na kuzingatia matumaini ya raia”.

Aliendelea na kusema ya kwamba polisi ya Rwanda ina lengo na kuhitaji polisi ya Rwanda kufikia ngazi ya kimataifa na wanatarajia kufika.

Kila askari polisi aliye huzuria mafundisha alipewa kikapo kyenye kuwa na vifaa vya kusaidia kwa kukusanya ishara na kulinda mahali palipo fanyiwa makosa.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[xyz-ihs snippet=”google”]

Leki@bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.