Swahili
HABARI

Waziri wa ulinzi amempokea balozi wa Ubelgiji Rwanda ndani ya ofisi yake

Tarehe 18 Januari 2017, balozi wa Ubelgiji nchini Rwanda, Arnout Pauwels akiwa pamoja na mshauri wake Lt Col Alain Lambert, wamepokelewa na waziri wa ulinzi wa Rwanda  Gen James Kabarebe kwenye kikao cha wizara Kimihurura.

Wanasiasa hao walizungumza kuhusu uhusiano kati nchi zote mbili, na namna ya kusaidiana kusonga mbele. Walisaidiana kimawazo kuhusu usalama wa mahali pia bara la Afrika kwa ujumla.

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

kabarebe1

Kuhusu maswali hayo, balozi Pauwels alimwambia waziri Kabarebe namna Ubelgiji huona kujitoa kwa Rwanda kwa kulinda amani na usalama katika bara la Afrika.

Kwa mwisho balozi Pauwels alishukuru waziri wa Ulinzi nchini Rwanda, Gen Kabarebe jinsi alivyowapokea, na pande zote mbili kakubaliana na kuongeza mkazo na kusaidiana kwa njia tofauti.

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com