kwamamaza 7

Waziri wa sheria wa Mali huona Rwanda kuwa mfano wa Afrika

0

Waziri wa sheria na haki za binadamu wa Mali, Mammadou Ismaila Konaté, amesema ya kuwa Rwanda ina mabo mengi ambayo Afrika yaweza kujifunza, na Rwanda imefikia mengi ikionyesha ya kuwa raia wana lengo ya kuyafikia mengi.

Waziri Konaté amesema hayo wakati alipo tembelea kituo cha Isange One Stop Center na maabara ya wendesha mashtaka ya Kigali na vyote vikiwa kwenye kikao cha hospititali ya Kacyiru, akiwa kwenye ziara ya siku tano Rwanda.

Waziri Konaté eti:” hivi nchi za Afrika hutuma uchunguzi wa DNA/ADN Ulaya, ila kwa sasa pamoja na maabara hii ninahakikisha ya kwamba hatutaongeza kwelekeza nchi za mbali”.

Wakati maabara hii itajaa itatoa huduma za uchunguzi zaidi ya kumi kwenye uendesha mashtaka kama DNA, uchawi, saini, mambo ya silaha na mengine.

Waziri Konaté eti:” ni nchi chache za Afrika ambazo hua na maabara ya kutoa huduma za wendesha mashtaka kama hii, ujenzi wa maabara hii Rwanda inaonyesha ya kuwa Afrika ikitaka yaweza kuyafikia mengi kwa uraisi.

Katika kituo hicho waziri Konaté alikuwa pamoja na katibu wa serikali Evode Uwizeyimana, katika wizara ya sheria, balozi wa Rwanda nchini Mali mwenye kuwa na kikao Senegal, Dr Mathias Harebamungu, na wakiongozwa na kufasiriwa yatakayo tendewa katika maabara hao na Commissioner of Police(CP) Daniel Nyamwasa.

Waziri Konaté amesema nchi zote mbili hujenga mawasiliano na ziara yake Rwanda imekuwa ya muhimu kwani amefunzwa mengi yaliofanywa na ngazi za sheria na yale alio yaona katika uendesha mashtaka.

Polisi ya Rwanda imetia mafundisho kuhusina na yale yatakayo fanyiwa katika maabara hio katika chuo chao (National Police University) pa Musanze ili askari polisi wawe na elimu kuhusina na makosa, uchunguzi wa nafasi makosa kafanyika kama damu, mate, sehemu za mwili, dawa za kulevya, sehemu za silaha na mengine.

Kituo hicho kitasaidia kwa kuwakamata wakosefu tofauti hata muda uwe murefu na wakati wakosefu wamefikishwa mahakamani.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[xyz-ihs snippet=”google”]

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.