kwamamaza 7

Waziri wa sheria wa Mali alifurahia jinsi wafungwa wanavyo ishi Rwanda

0

Waziri wa sheria na haki za binadamu wa Mali, Mamadou Ismael Konaté alitembelea gereza ya Nyanza na alishangazwa jinsi  60% ya mapato ambayo hutumikishwa huwa matokeo ya wafungwa na hutumiwa kwa maisha yao bora.

Waziri Konaté, mwanzo alizunguka sehemu tofauti za gereza ambayo huwaweka hata wafungwa kutoka Sierra Léone na aliuliza kiongozi wa gereza nafasi wanatosha mapato ya kuhudumia wafungwa zaidi ya elfu sita.

Msemaji SIP Hillary Sengabo, alisema  mapato ya gereza ipatayo 60% wafungwa wenyewe hujali na hayo kwa kazi ya mikono yao na serikali hutoa pesa na hakuna mfungwa anayeweza patwa na shida kwa sababu wanapata kila kitu.

Anasema ya kuwa serikali ilitiya nguvu nyingi ili wafungwa wawe na maisha mema katika gereza tofauti, na hakuna shida kutokana na malisho ya wafungwa kwa sababu wanapata mavuno yakutosha.

Konaté, alifurahia uongozi wa gereza na wa nchi kwa ujumla kwa hatua kubwa walio fanya kwa kuzingatia haki za binadamu kama vile wafungwa.

Aliendelea na kusema ya kuwa Rwanda ni nchi ya mfano bora kwa Afrika kupitia sheria hata haki za binadamu.

Eti « mimi naona gereza hii kuwa kimataifa, si lazima kukataa kuwatuma watu Rwanda wakitazamia sababu zingine za siasa ».

[xyz-ihs snippet=”google”]

Ulimaji wa kahawa, mahindi, mboga, matunda, ujenzi na mengine ndivyo huingizia pesa nyingi gereza hii ya Nyanza, na pesa hizo hutumiwa kwa kuhudumia wafungwa.

Gereza ya Nyanza ipo katika wilaya ya Nyanza na ina uwezo wa kuwapokea wafungwa 7500.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.