kwamamaza 7

Waziri wa Elimu nchini Rwanda amefafanuwa kilicho sababisha kufunga vyuo vikuu zaidi ya 8

0

Waziri wa Elimu nchini Dr. Musafiri Papias Malimba  amesema kuwa sababu  za kufungia baadhi ya fani tofauti kwa mda wa miezi 6, nipamoja na kukuta kuna badhi ya vifaa vinavyo kosekana katika vio vikuu hivyo kutokana na uchunguzi ulio fanyika katika hivyo vio vikuu.

Wazili amesema kuwa baada yauchunguzi ulio fanywa na wizala ya Elimu  walikuta kuna baadhi ya vifaa ambavyo  havipo katika vyuo hivyo naisha  wizala hiyo ya Elimu kuchukuwa uamuzi  wa kufuga baadhi ya fani ambazo  hazina vifaa vinavyo tumiwa na wanafunzi katika masomo yao.

Baadhi ya vyuo vikuu vilivyo fungwa  kwa mda ni pamoja  na Rusizi International University (RIU), Singhad Technical Education – Rwanda (STES) Mahatma Ghandhi University – Rwanda (MGUR) Nile Source Polytechnic of Applied Arts (NSPA)

[xyz-ihs snippet=”google”]

Richa ya vyuo vikuu  hivyo kufungiwa milango kwa mda, kuna  baadhi ya vyuo vingine vilivyo fungiwa, moja ya hivyo vyuo vikuu ni pamoja   University of Technology and Arts of Byumba (UTAB), Open University of Tanzania (OUT) iliyoko wilayani  Ngoma, University of Gitwe ilioko wilaya ya   Ruhango, Jomo Kenyatta University of Agriculture and Technology (JKUAT) iliyoko  Kicukiro, Institut Catholique de Kabgayi (ICK), pia  na Institut d’Enseignement Superieur de Ruhengeri (INES-Ruhengeri).

Waziri wa Elimu  Dr. Musafiri Papias Malimba  amesema kuwa  kufungwa kwa vyuo vikuu hivyo nikutokana na kifungo cha sheria namba No 01/2017 iliyo idhinishwa hapo 31/01/2017 kifungo hiki cha sheria  kinaeleza wazi kuhusu majukumu ya vyuo vikuu.

Katika mkutano na Wanahabari,  Waziri wa Elimu  amesema kuwa  wizara hiyo imechukuwa uamuzi huo   kutokana na majukumu wizara ya Elimu iliyo nayo.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Waziri pia amesema kuwa  hii ni hatuwa ya kwanza iliyo chukuliwa na wizara hio  kwani  itasaidia vyuo vikuu hivyo pia na vingine kuweza kutimiza malengo ya matakwa ya Wizara ya Elimu.

Pia Waziri amewambia wanahabali kwamba  kufungwa  kwa mda  baadhi ya vyuo vikuu pia na kufungwa kwa baadhi ya fani, iwapo vyuo hivyo havitatimiza  ahadi waliyo ahidiana na Wizara hiyo basi vyuo hivyo vinaweza kuchukuliwa hatuwa kali.

Waziri wa Elimu amesema kuwa kutokana na wanafunzi ambao walio kuwa wakisomea katika vyuo hivyo vilivyo fungiwa milango, watatafutiwa vyuo vingine na Wizara hiyo ya Elimu, wizara itafanya liwezekanalo  ili wanafunzi hao  waweze kuendela na Elimu yao.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

John Bagabo @bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.