kwamamaza 7

Waziri Nyirasafari Esperence yaonya familia kuhusu wazururaji barabarani

0

Waziri wa kukuza familia na usawa wa kinjinsia, Bi Nyirasafari Esperence alipozuru jana maonyesho ya watoto wanaosaidiwa na shirika mbali mbali; alisema kwamba watoto wote wangeishi katika familia hivi akizionya familia ambazo husababisha watoto kuzurura barabarani.

Uhamasishaji wa serikali huwaita wananchi kuwahifadhi watoto katika familia badala ya kuishi katika vituo vya kutunza yatima kwani huwazuia watoto hao kuwa na uwezo wa kufuatilia maadili na utamaduni za familia ya wanyarwanda.

Waziri wa kukuza familia na usawa wa kinjinsia Nyirasafari alisema, “Watoto wanaoishi barabarani, miongoni mwao kuna wale ambao wanakuwa na familia na wazazi. kuza tu havitoshi. Mzazi huo angeadhibiwa kwa kumuachia mtoto wake barabarani.”

[ad id=”72″]

Aliongeza kwamba kuna wakati ambapo itakuwa lazima kuita mkutano wa familia ili kueleza na kutoa suluhisho kuhusu migogoro na matatizo yanakuwa ndani ya familia kwani mtoto asingekosa mahali pa kuishi hata ikiwa kama kwa rafiki za familia ama jirani.

Watoto wengi huishi barabarani hasa hasa kwa sababu ya migogoro ya kifamilia, umaskini katika familia na wazazi ambao hukosa majukumu kama viongozi mbali mbali na wizara hii huonyesha.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Theogene U @Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.