kwamamaza 7

Waziri Mushikiwabo aitaka Afrika kupiga marufuku upweke

0

Waziri wa mambo ya nje,ushirikiano na Jumuiya ya Afrika Mashariki  Louise Mushikiwabo amewataka viongozi wa Afrika kuungana mkono na kuacha upweke.

Waziri Mushikiwabo ametoa ushauri huu kwenye mkutano wa siku tatu wa wanajeshi wakuu 47 wilayani Musanze,kaskazini mwa Rwanda.

Kwenye hotuba yake, Mushikiwabo amesema ushirikiano kati ya nchi za Afrika utasaidia nchi kulinda vilvyo usalama wa bara hii bila kutegemea wengine.

“Kosa kubwa ni kutoungana mkono,kutoshirikiana kwa kujenga mtindo wa kulinda usalama”

“Tukiungana mkono,Afrika itafika kiwango cha kulinda usalama wake bila kutegemea wengine” ameongeza

Waliohudhuria mkutano

Mmoja mwa waliohidhuria huu mkutano,Meja Apand Omond kutoka Kenya amesema amezinduka kuhusu kulinda usalama kupitia usalama.

“Huu mkutano umenisaidia sana,tulijadiliana kuhusu changamoto za Afrika.Tuliona kwamba kupitia ushirikiano tutafikia mengi yakiwemo kuchunga usalama”

Waziri wa Ulinzi Jen.James Kabarebe amesisitiza Afrika inakabiliana na vikwazo vya usalama kwa kujenga jeshi lenye ujuzi wa hali ya juu.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

click here to receive the updated news on facebook on twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.