kwamamaza 7

Waziri Mushikiwabo ahudhuria mkutano wa usalama uchina

0

Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Rwanda, Bi Louise Mushikiwabo pamoja na kundi la wakilishi wa serikali ya Rwanda wanakuwa nchini Uchina katika mkutano juu ya maswala ya usalama.

Bi Mushikiwabo alisema jana katika mkutano kwamba nchi ya Uchina huchangia mno katika ulinzi wa usalama duniani kwa kupitia nafasi yake miongoni mwa washiriki tano wa mkutano mkuu wa umoja wa kimataifa.

Wakilishi wa serikali ya Rwanda katika mkutano huo walishirika katika mazungumzo mbali mbali.

[ad id=”72″]

Mshauri wa rais kuhusu mambo ya kijeshi, Lt Gen Karenzi karake, alikuwa miongoni mwa wakilishi wa serikali katika mkutano huo; alishiriki jana katika mazungumzo ya kupambana dhihi ya vitisho vya tekinolojia.

Taarifa kutoka gazeti la Newtimes husema kwamba Karenzi alitoa mwito kwa ushirikiano wa kimataifa na kutumia uzoefu kwa kuepuka dhambi za tekinolojia. Aliwaambia washiriki kwamba nchi ya Rwanda imetambua changamoto na kuanzisha shirika pamoja na kujenga uwezo wa kupambana na uhalifu hizi.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.