Swahili
Home » Waziri Murekezi ameomba wendesha mashtaka wa jeshi kutokwenda kinyume na uajibu wao
HABARI MPYA

Waziri Murekezi ameomba wendesha mashtaka wa jeshi kutokwenda kinyume na uajibu wao

Katika sherehe ya kuapisha wendesha mashtaka watatu wa askari jeshi , waziri mkuu Murekezi Anastase aliwakumbusha kuwa wamefanya kiapo na Wanyarwanda wote, wanaombwa kufanya yawezekanayo ili kutimiza majukumu yao.

Katika kuapa kwao Capt. Vincent Ndayisaba, Capt. Kayitare Christian pamoja na Lt Muhawenimana Claudine, waziri mkuu Murekezi aliwakumbusha usamini wa kiapo.

Eti “Kwa ukweli kiapo ni kitu kikali, ni upanishi kati ya mtu na mwengine, na kama unakwenda kinyume , unaleta tatizo kwa ajili ya Wanyarwanda wote”.

Aliendelea na kusema eti “Majukumu yenu na makali, uajibu muhimu ni kufuatilia kila mtu katika kosa la kiaskali, ninyi jeshi la Rwanda munatambulikana kwaWanyarwanda wote kama watiifu”.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Waziri mkuu Murekezi Anastase aliomba tena wendesha mashtaka hao kutembea na sheria za kisasa wakijua yalio ya kale naya sasa wakitumia teknolojia kwa kurahisisha huduma zao katika mwangaza.

Wendesha mashtaka wa askari jeshi walio apa wakiwa mbele ya waziri mkuu ni wale walio kubaliwa katika baraza la mawaziri tarehe 03 Februari 2017.

Wanaopendelea bwiza.com iwatembelee na kuwatangazia habari kwenye bidhaa vyao wanaweza kutumia ujumbe kwenye barua pepe ya meckypro@gmail.com, ama wapigie simu kwenye nambari ifuatayo: 0784685981.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com