Swahili
HABARI MPYA SIASA

Waziri mkuu yahamasisha raia wa Rwanda kuiga wengine wanaohudhuria maonyesho

Waziri mkuu akizungumza na mwanamke aliyehudhuria maonyesho

Waziri mkuu wa Rwanda Anastase Murekezi ameomba raia wa Rwanda walioleta bidhaa zao kwenye maonyesho ya kimataifa huku mjini Kigali kwamba hawana budi kuiga ubunifu wa wenzao kutoka nchi nyingine.

Waziri mkuu Anastase Murekezi akizungumza na mwanamke aliyehudhuria maonyesho Gikondo,mjini Kigali

Waziri mkuu amesema kuwa maonyesho ni fursa nadra kwa hiyo ni muda wa kuchunguza ushirikiano kati ya serikali na sekta binafsi na kuomba wakazi wa Rwanda kuiga wengine ambao wanaonyesha bidhaa sawa ili wafaidike kwa  akili  zao.Waziri mkuu ameleza”Waige wenzao wenye bidhaa sawa  ili wapate akili mpya”.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Waziri amendelea kwa kutoa mfano wa wanaonyesha nyumba zikiwemo vifaa vyote kwa bei ya miliyoni 8 frw,teknolojia ya wahindi na wachina, kazi ya Hazabumuhanga Jean Damascene ya kutumia mapembe.Pia amesisitiza kuwa utoaji wa huduma nzuri kwa wateja kwa kuwa mgeni ni mfalme.

Waziri mkuu Anastase Murekezi pamoja na waziri wa viwanda na shirika la EAC,Francois Kanimba

Maonyesho haya yamehudhuriwa na watu 500, idadi ambayo inatarajiwa kuongezeka kufika maelfu 300 wakati wa wiki mbili.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com