Waziri mkuu Dk.Edouard Ngirente ameteua mawaziri watakaosaidia,kufuatilia mipango ya serikali katika  wilaya.

Orodha ya majina ya mawaziri na wilaya  watakazofuatilia

Kupitia barua yake ya tarehe 15 Sepemba 2017, Waziri mkuu ametangaza orodha yenye majina ya mawaziri na wilaya watakazozisaidia kuendesha mipango ya serikali.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Waziri mkuu ameomba mawaziri hawa kutembelea wilaya angalau mala moja na kutoa ripoti ya hali ya mambo ya kila wilaya wanayofuatilia.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Waziri mkuu ameleza umuhimu wa jambo hili kwamba ni baadhi ya mbinu za kuongeza hadhi ya kutia kivitendo mipango ya serikali.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina