Sherehe ya kuapishwa kwa waendesha mashitaka wanne ilipatikana jana 6 Disemba 2016, na kuhudhuriwa na waziri mkuu Anastase Murekezi aliyepokea kiapo cha wenye sheria hawa; amewasihi kuharakisha kesi za wabadhirifu.

Waendesha mashitaka hao ni Murungi Ester, Rusagara Augustin, kamikazi Bizimana Christa na mwenyewe Ingabire Yvette. Waziri mkuu Anastase Murekezi amewaambia waendesha mashitaka hawa kuharakisha mahakama ya wabadhirifu.

[ad id=”72″]

s7-768x513

“Mharakishe kesi za wabadhirifu wa mali ya serikali, mali ya benki na mali ya vyama vya ushirika,” Waziri mkuu alisihi.

Waendesha mashitaka wameambiwa tena kutia bidii kwa kupambana na dhambi, “Muendelee kutia bidii kwa kufuatilia dhambi za wafanya biashara za binadamu na dhambi kuhusu utumiaji wa dawa za kulevya ama kuuza dawa hizo.”

pm-768x513
Waziri mkuu wa Rwanda, Anastase Murekezi

Kuhusu kesi za watuhumiwa wa mauaji ya kimbari, waziri mkuu amesihi waendesha mashitaka kutia mkazo na hata kwa wale wanoishi nje. “Serikali ya Rwanda huomba shirika la waendesha mashitaka kufuatilia kimaalum kesi za mauaji ya kimbari dhidi ya watutsi mnamo mwaka wa 1994.”

[ad id=”72″]

Waendesha mashitaka hulazimishwa kupigania umoja wa wananchi wa Rwanda, upendo wa nchi na kazi pamoja na kufanya kazi kwa bidii. Kwa kuwa wamechaguliwa watalaam, wameombwa kutokosa majukumu na kuheshimu kiapo.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Theogene U @Bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.