kwamamaza 7

Waziri mkuu aomba viongozi wa mitaa kufanyia pamoja

0

Waziri mkuu Dkt Anastase Murekezi jana, aliwakilisha rais Paul kagame katika sherehe za kufunga wiki moja ya masomo ya viongozi wa mitaa ya kuwasaidia kuboresha majukumu. Aliwaomba viongozi hawa kutoka sehemu zote za nchi kutia bidii na kufanyia pamoja ili kujenga nchi.

Masomo ya viongozi ya kupewa elimu ya uraia, yalifanyiwa katika kambi ya wanajeshi ya Nasho wilayani Kirehe; yalianza mnamo tarehe 17 Oktoba 2016 na wasomi walipewa jina la ‘Abashingwangerero’.

[ad id=”72″]

Kwa niaba ya rais Paul Kagame, waziri mkuu aliwaita viongozi wa ngazi za mitaa kuzoea kufanyia pamoja na kutia bidii. “Mkufunzi wa wakufunzi Paul Kagame anawaomba kufanya kwa bidii, kufanyia juu ya lengo na kutegemeza umoja ili kujenga nchi mpya”.

pm3-768x512

Viongozi hulazimishwa kuwavutia raia kwa uongozi kwa kuwahudumia vizuri kwani hutumia muda mwingi wakizungumza na raia. Wasomi ‘Abashingwangerero’ walipatiwa elimu ya kuwasaidia kikazi. “Raia huwafikiria kama watu wa kuigwa. Mtawavutia raia kuwa na upendo na kipaumbele kwa uongozi wa nchi, ndio maana mnalazimishwa kuwahudumia vizuri;” waziri alisema.

[ad id=”72″]

 

Dusenge Sandrine aliyehutubia kwa niaba ya wenzake alisema kwamba wataweka kwa vitendo walivyosomea katika mafunzo. “Muda tuliishi hapa unatosha na si wa kupiga ubwana, tutafanya chochote na hatutaweza kusikitisha rais wetu Paul Kagame; mkufunzi mkuu.”

Mafunzo yalizinduliwa na rais Paul Kagame tarehe 17 Oktoba 2016. Yalishirikiwa na watu 1935, isipokuwa mmoja aliyekosa kufika mwishoni ambaye arirudi nyumbani kwa sababu ya ugonjwa.

Theogene U @Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.