kwamamaza 7

Evode Imena aliyekua waziri amewekwa mbaroni akishutumiwa upendeleo

0

Evode Imena aliye kuwa katibu wa serikali aliyehusika na uchimbaji wa madini (MINIRENA) yupo mikononi mwa polisi akishutumiwa upendeleo alioufanya wakati alikuwa akingali kazini.

Msemaji wa polisi ya Rwanda,  ACP Theos Badege amesema kuwa Evode Imena yupo mbaroni tangu ijuma wiki nenda.

ACP Theos Badege amesema ya kuwa Evode anashutumiwa pamoja na wengine watu wawili ambao husema ni wahusika wa mahosa hao ya upendeleo.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Evode Imena mwenye umri wa miaka 32, alianza kazi za serikali bado angali mdogo kwa umri, mwaka 2013, aliacha kazi hizo katika mabadiliko yaliyo fanywa serikalini mwezi Oktoba 2016.

ACP Badege amesema pia ya kuwa hakuna kuchelewa kwa kwendesha mashtaka kwa ajili ya Evode ambaye anafanya miezi mitatu akiacha kazi za serikali.

ACP Theos Badege hakusema mengi kwa kufungwa kwa huyu aliye kuwa mtumishi na kiongozi wa MINIREMA, alisema upelelezi unaendelea na hakusema stesheni ambapo Evode yupo.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com, chanzo:umuseke

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.