kwamamaza 7

Waziri Busingye awaita wandishi wa habari kufanya kitaaluma

0

Waziri wa sheria na mjumbe mkuu wa serikali ya Rwanda Johnston Busingye ameomba wandishi wa habari kutumia kazi ya utangazaji kwa kujenga nchi. Mwito umetolewa leo 7 Novemba 2016 katika sherehe za sikukuu ya utangazaji barani Africa.

Sikukuu ya utangazaji wa habari barani Africa, nchini Rwanda sikukuu hii imeambatanishwa na uzinduzi wa utafiti (Rwanda Media Barometer) unaofanywa kila mwaka na tume ya uongozi ya Rwanda (RGB) ili kuweka mfumo wa maendeleo ya utangazaji.

[ad id=”72″]

Utangazaji ulichangia kwa kiwango cha juu utekelezaji wa mauaji ya kimbari dhidi ya watutsi yalipatikana mnamo mwaka wa 1994. Mfano wa vyombo vya habari ni kama gazeti la ‘kangura’ ; Redio ya RTLM nk vilivyochangia mno na kusambaza uchuki kwa raia.

Waziri Busingye alisema kwamba uandishi wa habari leo ungejifunzia kwa yaliyotokea ili kujenga ya leo na kusaidiana na ngazi za serikali kwa maendeleo ya nchi.

Serikali imechukua hatua ya kuongeza uwezo na uzuri wa uandishi wa habari, mfano wa sheria ya kusawazisha uandishi wa habari nchini Rwanda, kuanzisha mazungumzo ya kila mwaka kati ya serikali na wamiliki wa vyombo vya habari na mengineyo.

[ad id=”72″]

Kiongozi mkuu wa tume ya uongozi nchini Rwanda (RGB) ambayo inasawazisha mambo uandishi wa habari; Prof Shyaka Anastase amepongeza hatua iliochukuliwa na uandishi wa habari ya kimaendeleo mithili ya uhuru wa uwandishi wa habari na kutumia vizuri uwezo wa kujiongoza kwa wanahabari.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Theogene U @Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.