kwamamaza 7

Waziri Busingye aliomba baraza kuu la polisi kutumia teknolojia ya kisasa

0

Waziri wa sheria na mtume mkuu wa serikali, Johnston Busingye, tarehe 26 Mach 2017 aliambia baraza kuu la polisi ya Rwanda kuwa sherti matendo ya ngazi ya usalama kutembelea kulingana na maendeleo ya kisasa ili kuzingatia usalama wa  watu na mambo yao pakiwemo kulinda na kupiganisha makosa yanayo vuka mipaka kwa kutumia teknolojia.

Baraza kuu ya polisi huundwa na viongozi wakuu, viongozi wa vikosi tofauti, viongozi wa jimbo, kiongozi wa mji wa Kigali na wilaya, ofisa wakubwa na wadogo, waakilishi wa polisi wadogo.

Katika mkutano huu wa tarehe 26 Mach 2017, palikuwepo kiongozi mkuu wa polisi, IGP Emmanuel K. Gasana na makamu wake wawili, DIGP Dan Munyuza pamoja na DIGP Juvenal Marizamunda.

Waziri Busingye eti”jinsi teknolojia husonga mbele, wamoja huitumia kwa kufanya makosa tafauti. Hapo ni uajibu wa kila polisi kuwa elimu zaidi kuhusu teknolojia tofauti kwa sababu ndio itaraisisha kugundua makosa mengi na kuzuia na kuwakamata wahusika”.

Waziri Busingye aliwaambia walio shiriki mkutano kuwa na ushirikiano na ngazi za usalama na wapatanishi ili mambo yanayo tarajiwa mwaka huu kama ukumbusho wa 23 wa mauaji ya Kimbari dhidi ya Watusi, uchaguzi wa rais wa Jamhuri na mikutano kimataifa ili ipitike vizuri katika amani na usalama.

[xyz-ihs snippet=”google”]

IGP Gasana aliwakumbusha kwamba majukumu ya msingi ni kuzingatia usalama wa raia na mambo yao na kwa hayo inabidi huduma iliyo bora.

Baraza kuu ya Polisi ya Rwanda hua mara  moja katika miezi mitatu wakiwa na lengo la kuchunguza kama yaliyo amuliwa katika mikutano nenda yalifanyika, tatizo walilo pata na kupanga ili ngazi ya usalama ifikie majukumu yake.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.