kwamamaza 7

Waziri aliyefutwa kazi amshukuru Rais Kagame

0

Aliyekuwa waziri wa vijana na ICT,Jean Philbert Nsengimana amemshukuru Rais Kagame   heshima na fursa aliyompa kuijenga nchi yake wakati wa miaka sita madarakani.

Kupitia ukuta wa Twitter,Jean Nsengimana amesema kuwa anaunga mkono mwelekeo wa Rais Kagame kwa Rwanda na Afrika kwa ujumla.

Jean Phibert Nsengimana amesema”Nitashukuru milele Rais Kagame kwa kunipa heshima na fursa vya kuisaidia nchi yangu.Nashukuru kwa yale niliyotimiza wakati wa miaka sita(…)”.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Waziri Jean Philbert Nsengimana aliongoza wizara ya vijana na ICT(MYICT) tangu mwaka 2011.Amefutwa madarakani kupitia tangazo lilitoliwa saini na waziri mkuu jana.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Wizara hii imepata waziri mpya kwa jina la Jean de Dieu Rurangirwa.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.