kwamamaza 7

Wazazi wa Diamond walalamika juu ya Zari kuwapeleka wajukuu kanisani

0

Wazazi wa muimbaji Diamond Platinumz wamenung’unika juu ya kitendo cha Zari Hassan cha kuwapeleka watoto wake yaani wajukuu wao kanisani la Wakristo kinyume na kuwa ni Waislamu.

Mmoja mwa nduguze Diamond ametangazia chombo cha habari Amani nchini Tanzania kwamba hili tukio lilizusha vurugu katika familia ya Diamond.

“Baba na mama wazazi wa Diamond ndio ambao wamenung’unika mno,Diamond hajali” huyu amesema

Wanamtaka Diamond kusimama kiume na kuamua kuhusu hili jambo”ameongeza

Wazazi wa Diamond wamelalamika baada ya Zari kuonekana mala nyingi akiwapeleka hawa watoto kanisani.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Baba yake Diamond, Abdul Juma ameeleza kusikitishwa na tukio la Zari la kutaka kuwafundisha wajukuu wake mambo ya ukristu.

“Hatupingi dini,linalotusikitisha ni kuwapata watoto na kuwapeleka upande umoja.Hairuhusiwi ikiwa huongei na mzazi mwenza”amesema

[xyz-ihs snippet=”google”]

Haya ni baada ya Zari kumwaga Diamond terehe 14 Februari 2018 kwa kumshitaki uhasherati.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.