kwamamaza 7

Waumini wa Katoliki Rwanda wanafuraha mioyoni kuwa Pope Francis ameomba msamaha

0

Baada ya ziara ya Rais wa Rwanda Paul Kagame ku kutana na kiongozi wa wakanisa Katoliki duniani Papa Francois, waumini wa dhehebu hilo nchini Rwanda wanafuraha mioyoni mwao kama ilivyo tangazwa na  Askofu Filipo Rukamba.

Ziara hiyo Rais Paul Kagame aliyo ifanya Vatican, inamaanisha  uhusiano mwema baina ya Rwanda na Vatican, akihojiwa na Radio ya Vatikan  Askofu Filipo Rukamba  amesema kuwa  ziara hiyo inafaida kubwa baina ya mataifa hayo.

Askofu Rukamba ambae pia ni katibu mkuu wa Maaskofu nchini Rwanda,  amesema kuwa mualiko wa Baba mtakatifu kwa Rais wa Rwanda Paul Kagame ni mojawapo ya uhusiano mzuri pia ni ishara ya umoja na malidhiano.

Askofu Rukamba ameongeza kuwa  baruwa iliyo andikwa na umoja wa Maaskofu kwaminajili ya kuomba radhi kwa waumini   waki katoliki walio jihusisha na mauwaji yakimbari dhidi ya Watusi mwaka 1994, ni moja ya njia nzuri  ya kukili yariyo fanywa na baadhi ya waumini hao.

Askofu ameongeza kuwa  kanisa kariki nchini Rwanda, mwaka ujao  itajikita katika sana katika umoja na maridhiano.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mojawapo ya mazungumzo kati ya Baba mtakatifu  na  Rais Paul Kagame  nipamoja na  Papa kukiri na kuomba msamaha   kuwa baadhi ya waumini wadhehebu la ki katoriki nchini Rwanda  kujihusisha  na mauwaji ya kimbali dhidi ya watutsi yaliyo fanyika mwaka 1994.

Hapo ndipo Askofu Rukamba amesema kuwa msamaha ulio ombwa na Papa nifuraha kwetu, kwani ameomba msamaha kwa watoto wake kiroho kwa ware walio husika na mauwaji pia na wale walio fariki dunia.

Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis ameomba msamaha kutoka kwa Mungu kwa “dhambi na makosa yaliyotekelezwa na Kanisa na waumini wake … ambao walitekwa na chuki na ghasia” wakati wa mauaji ya kimbari Rwanda.

Ombi lake la msahama limetokea baada ya ombi la Rwanda Novemba mwaka jana kwa Vatican kuomba radhi kutokana na mchango wa mapadri wa kanisa Katoliki na baadhi ya viongozi wake wakati wa mauaji hayo ya mwaka 1994.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kwa mujibu wa Vatican Radio, Papa pia “ameelezea nia yake kwamba kutambua udhaifu huu wa kanisa kipindi hicho, ambao, uliathiri sana sifa za Kanisa, kunaweza kuchangia ‘kutakaswa kwa kumbukumbu’ na kuendeleza, kwa matumaini na uaminifu, amani siku za usoni.” Wakati wa mauaji hayo yaliyodumu siku 100.

Mauaji hayo yalitekelezwa hadi katika makanisa ambapo watu walikuwa wamekimbilia kutafuta hifadhi.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

John Bagabo@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.