kwamamaza 7

Watusi na Wahutu waliishi vizuri Burundi ila kalaaniwa na Ubergiji

0

[ad id=”72″]

Misemi hio ilionekana katika kitabu kiitwacho  “La haine en ce vert paradis” kilicho andikwa na Jean-François Bouchard, na anasema kwamba mauaji nchini Burundi yallianza katika karne ya 20 na yalikokotwa na Ubergiji.

Eti “  Watusi na Wahutu walikua wakiishi kwa amani nchini Burundi mbele wakoloni kutoka Ubergiji kufika kuwafundisha ubaguaji wa kabila na wakatia uongozi na hayo yalifualiwa na mauaji karibu karne ya 20”.

Mwandishi wa kitabu hicho tena mwanafunzi anayejulikana katika maendeleo ya mabenki katika Afrika, asema kwamba mauaji yaliendelea yakisisitizwa na wanasiasa tofauti Burundi kama vile husema RFI.

[ad id=”72″]

Mwaka jana wakati ambao yalianza kuwa mabavu, Burundi ilshota kidole Ubergiji kuwa nyuma ya hayo wakati watu walianza kuuawa wengine kukimbia nchi, na hali ya uhusiano kati nchi mbili ikawa mbaya.

Kufuatana na hayo Ubergiji ilishimamisha msaada kwa ajili ya Burundi ila waziri wa kimataifa akasihi msaada kuendelea ikawa bure.

Hata kama mwandishi wa kitabu alisema kwamba mzozo huo ni chanzo cha wanasiasa wa Ubergiji, hata serikali ya husema kwamba wanaishi laana ya ubaguaji waliochiwa na Ubergiji.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[ad id=”72″]

@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.