kwamamaza 7

Watu wenye silaha waliwaua watu 2 Rwanda wakakimbilia Burundi

0

Jeshi la Rwanda limetangaza ya kuwa raia wawili waliuawa walipo vamiwa na watu wenye silaha katika wilaya ya Rusizi, tarafa ya Bugarama, kiini ya Rwankana, kijiji ya Kabuga.

Tangazo lililo sainiwa na msemaji wa jeshi la Rwanda, Lt Col René Ngendahimana husema ya kuwa wale walio uawa ilikuwa karibu saa saba za usiku tarehe 12 Mach 2017.

Mmoja aliye uawa na mwengiye aliye jeruhiwa walikuwa wakilinda usalama kwenye kikao cha uzima, mwengine aliye uawa ni mwenye umri wa miaka 12.

Hao walio husika na mauaji walikimbila nchi jirani Burundi kwa kuwa tendo hilo lilifanyika kwenye mpaka wa Rwanda na Burundi. Upelelezi huendelea ili kujua kilicho sukuma mauaji hao.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.