Swahili
Home » Watu kumi wenye ushawishi zaidi ulimwenguni
ORODHA

Watu kumi wenye ushawishi zaidi ulimwenguni

Jarida la Forbes limeweka wazi watu kumi wenye ushawiushi zaidi duniani.Kwenye orodha hii,Rais wa Uchina, Xi Jinping ndiye mtu mwenye ushawishi Zaidi duniani.

1.Xi Jinping

Rais wa Uchina,Xi Jinping

2. Vladimir Putin

Rais wa Russia,Vladmir Putin

3. DonaldTrump

Rais wa Marekani Donald Trump Junior

4. Angela Merkel

 

Rais wa Ujerumani,Angela Merkel

5 Jeff Bezos

Mkurugenzi wa Amazon

6. Pope Francis

Kiongozi wa Klezia katoliki,Pope Francis

7. BillGates

Mwanzilishi wa Microsoft,Bill Gates

8. Mohammed bin Salman Al Saud

Bin mfalme wa Saudi Arabia, Mohamed Bin Salman Al Saud

9. narendramodi

Waziri Mkuu wa Uhindi,Narendramodi

10.Larry Page

Mhenga wa mambo ya talakilishi,Larry Page

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

click here to receive the updated news on facebook on twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com