kwamamaza 7

Watu 80 wakamatwa kwa kuharibu usalama kusini

0

Wanausalama wameisha kamata watu 80 wanaotuhumiwa kuharibu usalama, Wilayani Muhanga, kusini mwa Rwanda.

Hawa wamekamatwa baada ya watu wenye silaha za kienyeji kushambulia na kuwatema watu wanne.

Kiongozi wilayani Muhanga, Beatrice Uwamariya amesema wanausalama wamefanya hili kutokana na kuwa suala hili limezusha woga kwa wakazi.

“ Hatuwezi kuongoza wakazi wenye woga,ni lazima kuhakikisha usalama wao.Tumewakamata hawa ambao hawana vitambulisho”

Huyu kiongozi amehakikisha baadhi ya waliokamatwa kuna 45 wanakubali hatia na 19 wameanzishwa kufanyiwa kazi hati rasmi za kufikishwa mahakamani.

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.