kwamamaza 7

Watu 7425 wana hutuma kupewa ng’ombe kwa njia isiyo halali

0

Uongozi wa jimbo la Kaskazini unafuatilia watu wapatao 7425 katika jimbo hilo kupewa ng’ombe katika mpango wa “Girinka” kupitia njia isiyo halali.

Wamoja waliostahili kupewa ng’ombe hesema ya kuwa walinyimwa kwa sababu ya ukosefu wa pesa zilizoitwa pombe ya kamba ya ufugaji.

Katibu mtendaji wa Jimbo la Kaskazini Jabo Paul, anasema ya kuwa wameanza kuhusika na swala hilo, na wakikuta kuna yule aliyepewa ng’ombe bila kustahili atanyanganywa na kupewa anayestahili.

Aendelea na kusema ya kuwa kuna zile ambazo zimezaa kwa hayo watanyanganywa zote kwa sababu walipewa visivyo vyao, na kama wanakuta kuna yule aliuza iliyozaliwa akamatwa kama mtu anayekuwa na deni ya serikali, akikosa malipo atafanya kazi za mikono pa nafasi ya malipo.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Raia mmoja wa Musanze anasema kuwa anaishi maisha mabaya kwa ukosefu wa mboleo, kila siku anaambiwa yupo kwenye orodha ya watakao pewa ng’ombe hadi sasa anasuburi kama vile husema imvaho.

Wakati mwengine aliambiwa kutoa elfu 15 pesa za Rwanda, alipokasa ikapewa mwengine, pombe ya kamba ya ufugazi inawatesa wengi, kwa ujumla ng’ombe hizo hupewa waalimu, wafanya biashara na kwa ukweli hupewa mtu anayejiweza.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Hivi sasa kunabaki ng’ombe elfu 17, ili jimbo ifikiye mkatababa iliyokubali wa ngombe 35000 katikati ya mwaka wa 2018-2020, na kila mhusika atakuwa amepata ng’ombe.

Wanaopewa ng’ombe wanaombwa kuzichunga vizuri ili ziwe chanzo cha maendeleo, kwani wanaweza pata maziwa na kuuza, wanapata vile mboleo kwa ukulima na wanapata malimbuko mema.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.