kwamamaza 7

Watu 34 wauwa katika migogoro nchini Congo kupitia wiki moja

0

Human Rights Watch imesema kwamba wanao husika na usalama nchini Congo wamewauwa watu wapatao 34 wakati wa maandamano ya kupinga utawala wa Kabila wiki hii moja.

Viongozi wa Kanisa katolika huendelea na mazungumzo kati ya wapinzani na uongozi wa Rais Kabila ambaye ameganga kuachilia madaraka wakati muda wake wa uatawala ulikoma tarehe 19 Disemba 2016. Na ripoti nyingine husema kwamba watu wengine wapatao 17 wamepoteza maisha kaskazini magharibi DRC.

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

Uongozi wa polisi hudaiwa kupambana na wapinzani wakali ambao wao husema mwisho wa utawala wa Kabila ndio chanzo cha mwisha wa ulimwengu, na wakati huo, katika mji wa Lubumbashi watu wengi mno wamekamatwa.

Kiongozi wa mji huo wa Lubumbashi amesema kwamba waliokamatwa ni waharibifu  ila wakaaji husema waliokamatwa na vijana ambao hupinga utawala wa rais Kabila.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.