kwamamaza 7

Watu 3 ndio wafariki katika ajali sikukuu ya Krismasi-Polisi

0

Watu tatu ndio wamefariki siku ya Krismasi kupitia ajali mbili kama vile hutangazwa na msemaji wa polisi ya Rwanda.

Ajali moja ilifanyika Rukomo, aliye kuwa akisafiri kwa miguu aligongwa na mwendesha pikipiki ila polisi huendelea na upelelezi.

Ajali nyingine alikua kamonyi jana juma pili na watu wawili walifariki wakiwa kwenye pikipiki, na polisi husema kwamba aliye kuwa akiendesha hakukuwa na kitambulisho ya kuendesha pikipiki.

Kuna ajali zingine ambazo zilifanyika na shida tofauti ambazo zilipatikana tangu usiku ya ijuma ya wiki nenda.

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

Musemaji wa polisi mwakilishi, CSP Lynder Nkuranga, amesema kwamba hakuna masamaha kwa yeyote kwa yule atakaye endesha akiwa amelewa, anawaomba kutemba wakiwa na dereva wa kuwaongoza.

Polisi imekamata motogari tofauti katika mji ambao walikua wakindesha wakiwa wamelewa, na walio kamatwa watatoa garama.

Nkuranga na amesema pia kwamba wana polisi walituma mahali tofauti ili kuukaza usalama kwa siku hivi, wamoja wakiwa barabarani ili kukataza viongozi kukimbiza magari, wengine wakiwa karibu ya baa ili kukataza kuendesha wakiwa walevi.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.