kwamamaza 7

Watoto walio zaliwa na yatima wa Jenoside hutulizwa

0

Albert Musabyimana, aliyeokoka Jenoside, amejenga shule la watoto waliozaliwa kwa mayatima ya jenoside. Huyu kasema “mahangaiko si kitu, ukituliza moyo, unaishi bora”.

Huyu anayejulikana kwa maneno ya kutuliza miyoyo, ameokoka Jenoside na kulea ndugu zake wawili. Kumaliza masomo ya sekondari, Albert aliendelea na chuo kikuu cha KIST. Baadaye, ndipo alijenga shule la watoto, waliozaliwa na mayatima wa Jenoside, karibu na kijiji kilio wajengewa hao, hapo Kinyinya mjini Kigali.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Anaalifu kwamba, ingawaje hawa mayatima walikuwa na manyumba, hawakukuwa na uwezo wa kusomesha watoto zao, na bali hawana baba.Yee pekee alikuwa anafundisha watoto hao, na wengine kutoka familia maskini.

Shule hili, lilitokamo ujamii wa Peace and Hope (Amani na Matumaini). Albert anasema “nilianzia na watoto 48, hivi wanakuwa 140. Wanasoma nursery, na tulisha anza shule la msingi”.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Hihi ndiyo sadaka kwa serikari 

Bwana Albert kasema aliwaziya hii kutokana na maisha magumu aliishimo, na jinsi serikrari ilimsaidia kusoma, na kuweza kulea nduguze. Shukrani zake ni kusaidia serikari kuhamasisha maisha ya watoto maskini.

Anasema “nilikuwa naangalia majilani, watoto wao hawasomi, wacotea maji watu winjine tu, na zingine kazi ngumu. Niliwazia jambo la kushukuru serikari ya Rwanda kwa kunisomesha no kunipatia nyumba, nikaona si linjine, isipokuwa kusaidia watoto kupata uzima bola”. Hivi anapanga kuwa na watoto 400 mwaka kesho.

Albert na jamii yake Amani na Matumaini, hutuliza watu kutoka maisha magumu walipitamo, anashauri kwamba mahangaiko ya kudumu, yaweza katisha mtu tamaa. Mtu anaweza juta na kunungunikia Mungu aliyemuomba, lakini ahadi lake linachelewa na kuludi kwa muda,(soma Biblia, waroma 5).

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

JB Karegeya@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.