Watoto wa Uwamahoro Violette, mwenye kuwa na uraia wa Wingereza yupo mahakamani nchini Rwanda, waliandikia rais Kagame ili awafungulie mama yao mzazi.

Mke huo alikua akiichi mjini Leeds, nchini Wingereza, alikamatwa wakati alikuwa amekuja kwenye mazishi.

Wakati taarifa ilisema ya kuwa yupo miongoni mwa Polisi, polisi ya Rwanda walisema ya kuwa Uwamahoro anashutumiwa matendo ya uovu na kutoa uito watu kuingia katika kundi la waharibifu.

Mume wa mke huo, Faustin Rukundo ni mwana chama cha RNC chenye kikao nje ni wapinzani wa utawala wa Rwanda, alisema ya kuwa mke wake alitiwa mbaroni hususani mambo ya siasa.

Watoto wa Uwamahoro; Samuel ana umri wa miaka 8, David miaka 10, waliandikia waziri mkuu wa Wingereza na rais Kagame wakiomba kufungua mama yao kama vile husema bbc.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mumeo anasema ya kuwa walikamata mke wake kunafasi yake aliomba utawala wa Wingereza kufikilia swala hilo kwa sababu anaweza patikana na sheria isiyo halali.

Msemaji wa wizara ya uhusiano na mataifa wa Wingereza amehakikisha taarifa hiyo, akisema ya kuwa waponasaidia Uwamahoro na jamii yake na alipo Rwanda, akisema kuwa wafanya kazi wao Kigali waponajaribu kuzungumza na utawala wa Rwanda.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.