kwamamaza 7

Watoto 5 wamezama ndani ya ziwa na tanki kwa siku moja

0

Polisi ya Rwanda inawashauria wazazi, walezi wa watoto kuwa karibu nao sana sana wanaoshi karibu ya mito, maziwa ao pool kuzuia watoto ili wasizame na kupoteza maisha.

Hayo yalisemwa tarehe 17 Januari 2017 baada ya ajali 5 ya watoto kuzama katika maziwa na tanki za kuwekea maji, katika ajali hizo inne ni katika jimbo la mashariki.

Pia katika jimbo la kasikazini, wilaya ya Burera, mtoto wa miaka 12 alizama katika ziwa la Burera na akafariki.

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

Musemaji wa polisi jimbo la Mashariki Inspector of Police (IP) Emmanuel Kayigi, amewaambia tena wazazi kuwalinda watoto kuzama.

IP Kayigi eti:”tunaomba wazazi na walezi wa watoto kuwalinda ajali, sababu kuna watoto ambao hupoteza maisha wazazi ama walezi wakiwa ndani ya shuguli nyingine, kuna wengine ambao hutuma watoto kushota maji wengine wanazama “.

Ameshauriya wazazi na wengine kuwalinda watoto kwenda kwenye maziwa kutembea pekee yao, ao kutafuta maji ndani ya tanki, ni vizuri wakitembea kwenda maziwani wawe pamoja na watu wazima ili kuzuia ajali.

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.