kwamamaza 7

Watafiti wathibitisha upatikanaji wa chanjo ya virusi vya ukimwi

0

Watafiti wa chanjo  ya virus vya ukimwi wametangaza kwamba kuna matumaini ya upatikanaji wa chanjo ya virus vya ukimwi hata kama safari ingali ndefu.

Watafiti wa shirika la International AIDS Initiative (IAVI) wamesema kwamba virusi vya  ukimwi vinangamiza dunia nzima kwani miliyoni 36 wameisha ambukizwa ugonjwa huu.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mmoja wao,Dkt.Etienne Karita ameleza kwamba ufatiti wao utatoa suluhisho maalum kwa mujibu wa taarifa za RBA.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Waziri wa afya,Dkt.Diane Gashumba kwa ziara yake amefafanua kwamba ushirikiano kuhusu utafiti huu uliodumu miaka kumi utakuwa na matokeo yatakayosaidia mno wanadamu kuishi bila virusi vya ukimwi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Watu miliyoni mbili wanambukizwa virusi vya ukimwi kila mwaka,baadhi ya miliyoni 70 zilizoambukizwa virusi vya ukimwi miliyoni 35 waliaga dunia.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.