kwamamaza 7

Wasiwasi za siasa ya Ufaransa kwa Afrika wakati Kagame atakapongoza UA

0

Kuna wasiwasi kadhalika za siasa ya Ufaransa kwa Afrika wakati ambapo rais Kagame atakapokuwa kiongozi wa Umoja wa Afrika.

Kwa mujibu wa taarifa za Liberation,siasa ya Ufaransa kwa Afrika itakuwa katika hali ngumu  kwa kuwa inaeleweka wazi wazi  kwamba ushirikiano kati yake na Rais Kagame kuanzia vita vya ukombozi wa Rwanda ni mkia wa mbuzi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pia,La Liberation imeongeza kuwa kitendo cha jagi kutoka Ufaransa Jean- Louis  Bourgiere mwaka 2006 cha kutoa hati rasmi za kuwakamata udhamini viongozi wakuu wa Rwanda akiwemo Kagame hakitarahisisha mambo.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Taarifa hizi zinaendelea kwa kufafanua kwambaUfaransa haina budi kuweka wazi maandishi yanayonyesha ushiriki wake katika mauaji ya kimbali dhidi ya Tutsi mwaka 1994 na kuanzisha mikakati kamili ya ushiriakiano mzuri wa nchi zote mbili na kuwa ni jambo amabalo wanategemea kutatuliwa na uongozi wa Emmanuel Macron.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.