kwamamaza 7

Washutumiwa kupindua utawala wa rais Nkurunziza wamefikishwa tena mahakamani

0

Jana tarehe 19 disemba Burundi ndipo washutumia kupindua utawala wa rais Nkurunziwa wakiwa pamoja wa wasaidizi wao katika sheria wameomba mahakama kurudiri upya mashitako yao na kuanza kusamba upya.

Taarifa mbao hutolewa na sauti ya Marekani husema kwamba kitendo hicho kilifanyika ndani ya chumba cha mahakama kwa siri bila raia wengine.

Wanao shutumiwa kupindua utawala walifikishwa mbele ya mahakama wakiwa 17 na wote walikua wameazibiwa kufungwa maisha yao yote.

[ad id=”72″]

Kumi kati yao walikua na wanasheria, saba wengine walikua pekee bila wasaidizi katika sheria pakiwemo Gen. Cyrille Ndayirukiye anaye shikwa kama namba ya pili kwenya mpango huo wa kupindua utawala uliofanyika tarehe 13 Mei 2015.

Gen Cyrille Ndayirukiye alipofikishwa mbele ya mahakama alikumbushwa kwamba haruhusiwi msaidizi wa sheria na hapo hapo akaomba kwamba sherti mashitako yarudiliwe mwanzo kwa kuwa yeye husema kwamba mahakama ilitumikishwa pia kama ni mambo ya siasa.

Kati ya hao washutumiwa walioazibiwa kufungwa maisha pakiwemo Gen Prime Ngowenubusa, aliyekuwa jemadari mwakilishi wa jeshi linalopigania chini, msaidizi wake wa sheria Me Fabien Segatwa, amesema sababu ya kuwa mashitako yarudiriwe ni kuwa mahakama haikuonyesha alama ambazo zashika washutumiwa ili kufungwa maisha, na hawakujulishwa mashitako  wakiwa mbele ya mahakama.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.