kwamamaza 7

Wapinzani wataka wadhamini kushawishi serikali ya Rwanda  kumuachia huru Ingabire Victoire

0

Wapinzani wanaounda muungano kwa jina la P5 wamewataka wadhamini wa serikali ya Rwanda kuishawishi kumuachia huru mwanasiasa na mwenyekiti wa chama cha upinzani FDU-Inkingi,Ingabire Victoire Umuhoza.

Wapinzani wameomba wadhamini kama vile Uholanzi,Uingereza,Ubelgiji,Marekani na Umoja wa Ulaya kuishawishi serikali ya Rwanda kmuachia huru Ingabire Victoire Umuhoza.

Kupitia barua ya vyombo vya habari wameweka wazi kuwa serikali ya Rwanda imekiuka makala ya 461 na ya 463 ya kanuni za kuadhibu ili kuzuia wapinzani wake kufanyia siasa kwenye uwanja huru.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pia wameongeza kuwa Ingabire Victoire haina budi kumauachia huru Ingabire Victoire kwa kuwa wanayomshataki ni uongo ila ni kukiuka sheria za kimataifa husika na uhuru wa wanasiasa hasa  makala yake 9(2) na 9(3).

[xyz-ihs snippet=”google”]

Wapinzani wametangaza haya baada ya mahakama ya kutetea haki za binadamu  barani Afrika iliyoko nchini Tanzania  kuamua ushindi wa Ingabire Victoire kwenye kesi aliyoishtaki serikali ya Rwanda kumfunga kinyume na sheria.

Ingabire Victoire Umuhoza alihukumiwa kufungwa jela miaka 15 tarehe 13 Disemba mwaka 2013 kwa kuwa na hatia ya uhalifu wa kuunda jeshi la kuipindua serikali,uchochezi na kukanusha mauajai ya kimbali dhidi ya Tutsi.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.