kwamamaza 7

Upinzani wakosoa uamuzi wa serikali ya Rwanda wa kukaribisha wahamiaji

0

Wapinzani ndani ya Rwanda na nje yake wameweka wazi kuwa na wasiwasi za kuwa Rwanda iliamua kuwakaribisha wahamiaji karibu maelfu 40 kutoka Libya na Israel.

Wapinzani wakiwemo mwenyekiti wa  chama cha upinzani nchini, Democratic Green Party,Dk.Frank Habineza kupitia tangazo kwa vyombo vya habari  tarehe 24 Novemba 2017 alisema kuwa hata kama Rwanda ina nia ya kuwasadia wahamaiaji,haifai kuwakaribisha wote bila kujua walifika kule namna gani.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Wapinzani wamendelea kueleza kuwa serikali ya Rwanda haina uwezo wa kutosha wa kuwakaribisha wote.Hawa wameanzia kwenye changamoto ya uhaba wa ardhi  na  wingi wa watu.

Pia wametoa shauri kuwa serikali ya Rwanda inastahili kuhojiana na nchi nyingine za Afrika kuhusu jamabo hili ili kulinda wahamiaji kukumbwa na matatizo zaidi na yale waliyokimbia.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pamoja na haya,upande wa serikali kupitia waziri wa mambo ya nje,ushrikiano na Muungano Afrika Mashariki,Louise Mushikiwabo alisema kuwa kuna fedha zilizohifashiwa kwa kutatua matatizo ya ghafla na kuwa tatizo ni mambo ya maandalizi tu.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Waziri huyu aliongeza kuwa Rwanda haitakaribisha wahamiaji wote yaani 400,000 ila ingali tayari kutoa msaada  uwezekanao.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Gaston Rwaka/Bwiza.com

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.