kwamamaza 7

Wapinzani wa Burundi watamuuliza Mkapa sasabu gani aliwadhuru

0

Kundi la wapinzani wa Burundi wamealikwa katika mkutano hii leo tarehe 16 Januari, wameonyesha kuwa hawatosheki na mpatanishi wao, na ni wapinzani walio alikwa peke yao katika maongezi Arusha Tanzania.

Katika maongezi, wapinzani waliiambia sauti ya marekani kuwa mpatanishi wao aliwadhurumu na kusema kua rasi Nkurunziza aliteuliwa na kukubaliwa na sharia, kwani uchaguzi ulipitakana katika nuru na mwangaza.

Mpatanishi huu lengo muhimu lilikua ni kuwapatanisha wapinzani na serikali, ili kutatuwa tatizo lolote ndani ya siasa, na mpaka sasa wapinzani hawataki kua Nkurunziza kuendelea kutawala nchi ya Burundi.

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

Leo juma tatu tarehe 16 Oktoba 2017, zaidi ya watu 30 wenye viama vya upinzani ndio wenye walikua kwenye mkutano, na serikali ya Burundi wakisubiri maamzi ya mpatanishi ijapo kua mkutano ulio pita wapinzani hawakufaniliwa lolote.

Katika mkutano uliopita ndipo wapinzani husema kuwa mpatanishi Mkapa aliwadhurumu na kusema kua ni wapumbafu kama wanaona kama Rais Nkurunziza hastahili kuwaongoza.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.