kwamamaza 7

Wapiganaji wa M23 wamekimbilia Rwanda

0

Wapiganaji wa M23 ambao hupiganisha serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wapatao 30 wamekimbilia Rwanda asubui ya juma pili tarehe 29 Januari 2017.

Wizara ya ulinzi la jeshi la Rwanda imetoa taarifa na kusema kuwa wapiganaji hao pamoja na silaha zao wameingia Rwanda wakipitia mpaka wa Rwanda na Congo katika tarafa ya Bugeshi wilaya ya Rubavu.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Wamesema kuwa wamekimbia mapigano na Jeshi la Congo, FARDC. Taarifa hio husema kuwa waliowaona ni wanaohusia na afia ya wanaosumbuliwa wajulikanao kama msalaba mwekundu, na kuwatibu wanaohitaji msaada kama vile kanuni kimataifa huwakubalia.

Siku chache nenda serikali ya Congo ilikuwa ikishutumu wapiganaji wa M23 Kuwashambulia wkitoka Uganda na kuingia Kivu ya Kasikazini.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.